Vichwa vya habari vya magazeti ya kesho baada ya matokeo
Dada aliyekuwa maarufu fesibuku anywa sumu baada ya kukabwa koo na necta
Wachora mazombi sasa waongezeka idadi katika matokeo ya kidato cha sita
Siri kubwa ya fichuka mtoto wa mheshimiwa fulani apata ziro
Siku moja baada ya matokeo kutangazwa kijana wa kihehe akutwa kwenye vitindi vya ulanzi akisherehekea...... yeye mwenyewe ashangaa alipataje divisheni wani wakati hakuwepo kwenye mtihani.
Ongeza nawe chako HAPA

0 comments: