Ifahamu Nyumba/Jengo/Makao yenye thamani kubwa zaidi duniani

Najua wajua, lakini kama unataka kujua zaidi. Nyumba/Jengo/Makao yenye thamani kubwa zaidi duniani ni makazi ya familia ya kifalme ya Uingereza kwa jina maarufu kama BUCKINGHAM PALACE.
Thamani yake ni dola za Kimarekani 1,560,000,000 (Zidisha na shilingi ngapi za Kitanzania).
Eneo hilo limekuwa makazi ya familia ya Kifalme ya Uingereza toka mwaka 1837 wakati wa Malkia Victoria ambaye ziwa Victoria lilipewa jina lake na wapelelezi wa Kiingereza waliofika Afrika Mashariki, Richard Francis Burton na John Hanning Speke

0 comments: