Jambo la muhimu usilolijua kuhusu mtandao wa GOOGLE

17:09:00 Unknown 0 Comments

Wakati inaanzishwa Google haikuitwa Google, ilikuwa inaitwa Googol. 

Waanzilishi wake walipopeleka wazo la mradi wa kuianzisha kwa mfadhili ili wapewe fedha za kuanzia mfadhili akakosea akaandika kwenye cheque Google badala ya Googol.

 Vijana wakaamua wasiirudishe cheque kufanyiwa marekebisho ya jina na badala yake wakatumia neno Google kama jina rasmi la kampuni. 

Jifunze: Usilalamike sana ukiona tatizo, liangalie kama njia ya kufanikiwa zaidi.

You Might Also Like

0 comments: