Jamani hawa kina dada wahudumu wa salon wanamambo sana

17:48:00 Unknown 0 Comments


Duh ila kuna kina dada hawa wa salon wanaowafanyia watu soseji (meseji) wanaweza kukufanya uzimie.....

Yaani kuna jamaa hapa anajichekea tu kila dada wa srabing'i akifanya mambo yake na dada sijui kajua kuwa jamaa hayo maeneo ndio mdhaifu maana haachii???

You Might Also Like

0 comments: