Huyu mme sijui alijua wakati anajibu hili swali anaweza kuhatarisha ndoa yake?
Jacque: Baba watoto, nipe tofauti kati ya UJASIRI NA SIRI.Morgan: Nimekuoa wewe, huo ni UJASIRI. Yule rafiki yako mwenye saluni MAFYATI ni mpenzi wangu pia, hiyo ni SIRI.

0 comments: