JAMANI TUONEENI HURUMA WATOTO WA WANAWAKE WENZENU.......
'Baby I swear sikudanganyi,wewe ni Mwanaume wangu wa
Pili,nimekaa muda mrefu sana baada ya kuachana na EX wangu wa
kwanza,yaani nilimpenda(anazuga kulia na kamasi kidogo), maana
aliniumiza sana sana kwakweli hadi nililazwa Kcmc wiki2,mpaka
nikahisi roho inataka kuchomoka..Yaani ungewahi kidogo tu
ungenikuta Bikira Mpenzi,I rav yuu sana Dont hurt Me'''..Umewahi
kukumbana na hii kitu Mwanaume???Mzee ulivyokuwa Boya
unamuangalia usoni,machozi yanakulengalenga,unajihisi umepata
kweli,yaani wa PILI,kama vile umewahi namba mstarini,halafu
unamhug kwa nguvu,unambusu kwa hisia..huku yeye moyoni
anakung'ong'a jinsi ulivyo poyoyo kuamini script za Cherel wa
Isidingo
Eti niliumizwa sana kidogo roho ichomoke,hiyo Roho inayochomoka
imekuwa Tairi ya Pick Up ya mzee wa kisukuma au??Mapenzi
bwana...!!!

0 comments: