Jinsi au mbinu mpya ya kukwepa fumanizi
Dada mmoja wakati akiingia gest na boyfriend wake, ghafla akakutana na mme wake akitoka gest hiyo hiyo na girlfriend wake, WOTE WAKASHTUKADada akabwatukaaa Leo ndio Leo nimekuja kukufumaniaa. JAMAA KAUMIZA KICHWA FASTAAAAAA kisha akamgeukia yule mpenz wake waliotoka naye gest na kusema kwa sauti.
DADA YANGU UNAONAAA NILIYOKUWA NAKWAMBIAAA..
KAMA TUNGEONDOKA MAPEMA TUSINGEMFUMANIA LEO
Tafuta FINISHING yake nikupe zawadi.....

0 comments: