Mali ya dhuluma yamtokea puani kijana mmoja asiyejua nini maana ya neno SUMBAWANGA
Evaristo na Salva ni marafiki waliodumu zaidi miaka kumi wakifanya biashara zao kwa pamoja huku wakifurahia mahusiano yao kikazi na maisha ya kawaida.
Walianzia maisha yao mkoani mbeya na kisha kuhamia jijini Dar baaada ya kuona huko kuna nafasi kubwa kuzifanikisha biashara zao ili waweze kukua zaidi.
jijini dar wakafanikiwa kufungua ofisi ya na kuendeleza kazi zao kwa ushirikiano mkubwa sana huku wakigawana vyema mapato yao kwa wakati muafaka na kufanikisha mipango yao pia.
Siku moja wakafanikiwa kufanya kazi moja kubwa na ikawapa fedha za kitanzania keshi milioni 72 ambazo walitakiwa kugawana sawa sawa yaani kila mmoja kupata milion 36.
0 comments: