mi sitaki mume wangu afufuke

11:33:00 Unknown 0 Comments

Mke alienda Jerusalem na mumewe ki-vekeshen vekeshen.
Mumewe akafa bahati mbaya, akaambiwa kusafirisha mwili itamgharimu dola 1,000 na kuzika nchini humo dola 100.

Akachagua kusafirisha, mchungaji akamuuliza "huoni ni gharama kubwa sanakusafirisha?"
Mke akajibu: Mara ya mwisho Yesu alizikwa hapa akafufuka siku ya 3, mi sitaki mume wangu afufuke"

You Might Also Like

0 comments: