Msome mhubiri feki

19:59:00 Unknown 0 Comments

Mhubiri mmoja feki alishindwa kutambua maana halisi ya mama jusi wale waliopeleka zawadi kwa mtoto Yesu.
Yeye akadhani kuwa ni sawa na mama fuledi kuwa mama jusi ni mama wa jusi.
Katika mahubiri akasisitiza kuwa yaani hebu fikiria mama jusi kamwacha mwanawe jusi na kwenda kumsalimia mtoto Yesu na kumpa zawadi, ni upendo mkubwa na wa aina yake.
Mimi nimeishia kucheka

You Might Also Like

0 comments: