MAMBO YA KUZINGATI WAKATI UNAMNUNULIA MSICHANA ZAWADI

19:59:00 Unknown 0 Comments



1. Vyema ufahamu aina gani ya zawadi msichana hupendelea. Yaani inafaa ujue interest za msichana wako. 

2. Zawadi utakayompatia isiwe chakula au kinywaji atakachokimaliza na isibaki kumbukumbu ya kudumu kuwa uliwahi kumpa zawadi. Jitahidi kumpa kitu ambacho kitabaki kumbukumbu kwake.

3. Kama ni nguo hakikisha isiwe ya mtumba hata kama wewe ni mgumu sana au huna pesa itamfanya ahisi umemheshimu sana

4. Siku ya zawadi isiwe siku ya kufanya mapenzi kwanza kisha ndio umpatie zawadi. Ataogopa siku nyingine ukimuita umpe zawadi.

5. Japo zawadi ni yeyote lakini chagua zawadi ya maana na nzuri atakayoipenda msichana wako hata ikamfanya kuitazama mara kwa mara akikukumbuka

You Might Also Like

0 comments: