Ninachohitaji sasa ni mwananume tu

11:35:00 Unknown 0 Comments


Sugarmummy kakutana na sharobaro wa nguvu, akaona kapata bwana, akamtoa out, waka have good time, chakula safi vinywaji kwa wingi, hatimae wakiwa hoi kwa ulevi wakafika nyumbani kwa Sugarmummy. Wakiwa chumbani wamepumzika;
SUGARMUMMY: Ninachohitaji sasa ni mwananume tu
SHAROBARO: Hata mimi

You Might Also Like

0 comments: