Njia 8 za kujikosesha furaha:

19:56:00 Unknown 0 Comments



1. Kulalamika bila kutafuta ufumbuzi wa tatizo au matatizo.
2. Kuyakimbia matatizo yako badala ya kuyatatua.
3. Kujilinganisha na wengine.
4. Kuwaza na kua na wasiwasi na mambo ambayo bado hayajatokea.
5. Kufanya vitu mfano kazi ambayo huipendi kutoka moyoni.
6. Kukaa kwenye mahusiano ambayo hayana tena faida kwako.
7. Kujaribu kubadili mitazamo ya wengine huku ukijiona wewe ndo uko sahihi.
8. Kujaribu kumfurahisha kila mtu kwa matendo yako.

You Might Also Like

0 comments: