Njia tano za ukweli za kumfanya demu wako akupende kwa dhati kabla ya .x-mas

10:38:00 Unknown 0 Comments

UKWELI!!!
Njia tano za ukweli za kumfanya demu wako akupende kwa dhati kabla ya .x-mas
1.. Mpe hela
2.. Endelea kumpa hela
3.. Usisahau kumpa hela
4.. Wewe endelea kumpa hela
5.. Kuwa makini na hili yaani endelea kumpa hela afurahi
Nafikiri hapo tupo sawa dada zangu?
=======================
Njia 5 muhimu za kumfanya mpenzi wako wa kiume akupende kwa dhati kabla ya x-mas::
1. Sahau kuhusu hela
2. usifikirie kabisa kumwomba hela
3. Iache hela mbali na yeye
4. usimuulize kuhusu hela
5. Nimesema sahau kuhusu hela
Mabinti sijui kama tupo pamoja hapa???
Uongo au ukweli?

You Might Also Like

0 comments: