Kuna watu hawaishiwi maajabu

09:50:00 Unknown 0 Comments


Mdogo wangu yeye ana uzoefu wa kukaa nyumbani miaka miwili kasoro tangu ahitimu chuo.
Hajabahatika kupata ajira kwa kuwa yeye yupo katika mrengo wa vijana ambao wana ndoto za kuajiriwa ( hataki shida za kujiajii).

Sasa jana kuna rafiki kanipigia simu kasema anataka mtu wa INTERN kwenye shirika lao. Hivyo kama nina mtu ninayeona ana sifa hizo nimpe taarifa.

Mimi na kiherehere changu nikampigia dogo na kumwambia kuna kazi ya INTERN kama anaitaka.
MAJIBU YA DOGO

Bro hao jamaa wanatoa nyumba na gari? na mshahara wao ni zaidi ya laki saba?

Ngoja nipate konyagi ili nimpe majibu.....

You Might Also Like

0 comments: