Uchawi wa kusadikika wazidi kutamba sumbawanga.....
Mimi ni kijana ambaye nimeoa hivi karibuni na kuhamia mkoa mmoja uliopo kusini mwa Tanzania kwa ajili biashara zangu.
Tangu nimefika nimekuwa napata wakati mgumu sana na nashindwa kuwa na majibu ya uhakika kwa mpenzi wangu.
Ni zaidi ya mara sita nimejikuta naamka nipo chini ya uvungu wa kitanda na bila kujua nimeingiaje wakati nilikuwa nimelala kitandani na mke wangu. Na situmii kilevi chochote kile.
Lakini juzi nimepata mpya kwani nimeamka asubuhi blanketi limeloa maji upande wangu tuu....
Na pia kufika dukani naona kiti changu kimelowa maji tena.
Jamani naombeni msaada wa mawazo maana hali yazidi kuwa tata

0 comments: