Wakalimaqni wa filamu za kibongo kukutanishwa pamoja na kuonyesha vipaji vyao vya uchekjeshaji
Nataka kufanya tamasha la wazi litakalohusisha wale wakalimani wa maandishi ya kwenye zile filamu za kibongo...... Nafikiri ni wachekeshaji wazuri sana.
Maana zile maana zao za kiingereza kama Africa Magic Swahili inawafikia mataifa mengine basi wanatuona vituko sana

0 comments: