Yaani huu ndio uhalisia wa vijana wengi ambao wanashindwa kuelewa namna ya kujibu text za kidhungu
Jacque: Happy birth day to you my dear dadiie
Morgan: wow thanks happy birthday to you too
09:02:00 Unknown 0 Comments
Nakushukuru kwa kunipa nafasi hii adimu sana ya kufurahi, kuelimika na kubadilishana mawazo. Nitafurahi sana kama utaniachia comment hapo chini ili nijue kama habari,ucheshi, simulizi na vioja vioja hivi vimekupa siku yako kuwa BOMBA. Kumbuka nawe waweza share nami chochote ulichonacho kwa kunicheki kupitia whatsapp kwa namba 0713317171 au kupitia comment. Asante.
0 comments: