Hivi ni kwa nini vijana wengi wa kiume kwa sasa hawapendi kuoa?
22:09:00
Unknown
0 Comments
22:09:00 Unknown 0 Comments
- Hummudy Ally, Ibrah Christopher, Fatuma Saidi and 24 others like this.
- Vicky Mgaya Wanaogopa majukumu ya lazima maana ukioa lazima familia inaongezeka utake usitake unahakikisha wanapata mahitaji yote yamhimu lakin kama unademu ukiona anaomba sana hela piga chini
- Acklax Emanuel Nanyie madada tubanieni ili tuwaoe c o umeona pochi kumi kumi ooh nataka chps mayai hamuolewi ng'o
- Frank Joseph Msaki Ni bora kuish kama wazee wetu unakuja kubariki ndoa after 30yrs mambo yakuoa kwa mamilion afu mizunguo inaanza sio kabisa
- Linus Shao · Friends with Linus Shija and 1 otherwao wenyewe wanataka kua wanawake!!
- Elisha Raymond · 31 mutual friendsSijuwi wao ambao hawaowi mie lazima niowe iwe isiwe
- Ney de A · Friends with Nene Mwagito and 23 othersWanataka Kula Ujana Bila Jela La Hiyari.
- Agnes Nyambura Maisha yamekuwa magumu na yanazidi kuwa magumu kila uchao. Anayetaka kuoa lazima ajipange sawasawa.
- Moureen Jumah Watu wameulizwaa vija its meas ni jns zote lkn watu mnasema gal tu waanamattz why not msiseme na nyie boyz waongo san amna msimamo???
- Moureen Jumah Ha ha ha ha ha iyoo mada inataka sababu jmn na cyo maelezo pia maelzo yakiwepo kidg sasa cyo kuelekea tu wanawake waongo mara hela mmh hpn pia ht kunawanawake nao wanateseka na nyie wanaume hd vichwa vinauma upelwkea strock
- Sarafina Erasto Mwanaume wengi siku hizi wanapenda kulelewa, sasa ataoaje na akiwa ameshazoea maisha hayo ya mteremko bila kutumia jasho?, ndio mana hawaoi kwa kuogopa majukumu ambayo kwa wao hawajazoea
- Evodia Kibabage Wanakwepa majukumu na ujanja ujanja umekuwa mwingi kutaka kudonoa donoa kila mahali hawaridhiki yaani lakini pia na hali ngumu ya maisha nayo inachangia
- Omary Oshams jaman dada zetu ngoja niwambie ukwel tatizo lenu mdomo mdomo sna na lawama nying bila sababu ona hakuna katiyenu anaye toa point kaz kulaumu 2 mjipange saiz bila kujitambua wemwenyew utaolew ngo kamwee na mpunguze uchaguz
- Sarafina Erasto Kuchagua muhimu huwezi kuolewa na mwanaume suruali, mwanaume jina, mwanaume hajui kutafuta hela wa nini??.namshukuru Mungu kunipa mume anaejitambua.ila wengi wenu hamna kitu
- Omary Oshams bora w ulie pata mume komaa saw saw au sio lakn weng wenu wanafata mkumbo awez kuwa namamuz yake
- Mwisho De Las gharama ya mahali=na gharama ya starlet,ndoa zimekua ndoano coz faster kwa Talaka ili iwe 50:50 kwa mgao.zats why now dayz ni mwendo wa Posa tuu,bt no ndoa
- Sarafina Erasto Na ukimwi pia utakurukia usipoangalia, wanawake wakweli wapo kinachotakiwa ni wewe kupiga goti Mungu akupe ubavu wako. Bila Mungu huwezi kupata mwanamke bora
Fuledi Mwagito
Nakushukuru kwa kunipa nafasi hii adimu sana ya kufurahi, kuelimika na kubadilishana mawazo. Nitafurahi sana kama utaniachia comment hapo chini ili nijue kama habari,ucheshi, simulizi na vioja vioja hivi vimekupa siku yako kuwa BOMBA. Kumbuka nawe waweza share nami chochote ulichonacho kwa kunicheki kupitia whatsapp kwa namba 0713317171 au kupitia comment. Asante.
































0 comments: