Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?
22:13:00
Unknown
0 Comments
22:13:00 Unknown 0 Comments

A. Maisha mazuri
B. Kuridhika
C. Style
D. Utamu wa pesa
E. ?
- Pricila FH WENYEWE WAITA HABARI YA MUJINI LAKIN HATA WA BUSH NAO VITAMBI SASA NAHIC UTAPIAMLO NA SAFURA VIMEHAMIA KWETU
- Suzane Mtitu Cjawahi kutumia uzazi wa mpango,na sijawahi kunywa bia,na humo inamopatikana michemsho siendagi na tumbo ninalo mbona?tufikirie kwa undani zaidi % kubwa ya vyakula tunavotumia siku hizi vimeshachakachuliwa,kwa mfano unakula kuku alietunzwa wiki 4 tu,ni mafuta matupu nyama yake na mifuta ile imetebgenezwa kwa madawa,je wewe baada ya Kumla huyu kuku yatima unaenda kutengdneza nn mwilini ?kila kitu madawa mboga za majani madawa!ivi nini kitatokea hapo?sio uzazi wa mpango pekeake nakataa mtazame huyu,wanaume wenzenu hawa nao wanatumia uzazi wa mpango?????
- Romana Masebena · 2 mutual friendsapana jaman mbona wengine hapa hatutumii pombe wala majira lakin kila kukicha tumbo linakua?sema tu vyakula na kuto kufanya mazoez.
- Zayana Ng'umbi Vitambii vya cku iz nomaa si ke wala me wote sawa. Hakuna mazoez ya kutosha,vyakula na kuendekeza starehe.
- Omary Oshams namanisha kila kitu mwachukulia normal kwan hamna strec za maisha ndo mana amkuitw kichw cha familia na kwakuw sasa mnasema mnataka haki saw ndo kabsaaaa amtak kupkia na vishugul vyenu waumezenu wausike ila kaz za waumezen ahaa mnasema unyanyasaji saiv...See More
- Casiana Ndimbo mimi nahisi ni vyakula.....watu wengi wanapenda kula vyakula vilivyolostiwa,sukari nyingi n.k....zamani hayo mambo hayakuwepo kwa kiasi kikubwa lakini siku hizi yamezidi... kuhusu uzazi wa mpango sio kigezo sana ,mbona kuna mabinti hata hawajazaa utakuta wana tumbo hatari..tupunguze ulaji wa nyama hasa zinazokuzwa kisasa, vyakula vinavyoivishwa kwa mafuta na ulaji wa sukari nyingi....
Fuledi Mwagito
Nakushukuru kwa kunipa nafasi hii adimu sana ya kufurahi, kuelimika na kubadilishana mawazo. Nitafurahi sana kama utaniachia comment hapo chini ili nijue kama habari,ucheshi, simulizi na vioja vioja hivi vimekupa siku yako kuwa BOMBA. Kumbuka nawe waweza share nami chochote ulichonacho kwa kunicheki kupitia whatsapp kwa namba 0713317171 au kupitia comment. Asante.




















0 comments: