MAPENZI BWANA:

21:56:00 Unknown 0 Comments


Jamaa m1" Alimpenda sana Binti 1 hv, Karibu na Mtaa wao ila Akawa Mzito Kumwambia.
Siku 1 akajikakamua Akamtumia sms
"I love U"
Mara Kidogo nayeye Simu yake
Ikaingia sms
akawa na Shauku kubwa ya Kutaka Kujua
Binti Kajibu nini.
Akaamua Kuahirisha Kuisoma hadi asubuh Yake.
Alipoamka Akafanya Usafi Nyumba Nzima, Kanywa Chai ya Nguvu Mpaka Wakamshangaa kwa Kuwa si Kawaida yake.
Alipomaliza Akajitupa Kitandani ili Apate Kuisoma ile sms. Alipofungua tu Akakuta Ujumbe.. "SAMAHANI SALIO LAKO HALITOSHI KUTUMA SMS HII. PIGA *149*55# UPATE MKOPO WA TIGO NIWEZESHE"
....jamaa hooi

You Might Also Like

0 comments: