MAPENZI KWA HISANI YA WHATSAPP...

10:56:00 Unknown 0 Comments

Mapenz ya whatsapp..
MAPENZI KWA HISANI YA WHATSAPP...
MKAKA:Hello Babe....(11:45pm)
MDADA:(last seen at 11:46pm)
MKAKA:Nijibu tafadhali ( 11:50pm)
MDADA:(last seen at 11:52pm)
MKAKA:Mbona unanifanyia hivi? Mbona hujibu? (00:00am)
MDADA:(last seen at 00:01am)
MKAKA:Ok usiku mwema baby,nilitaka 2 kukwambia tu
kuwa zile pesa nilizokwambia nilikuwa nadai nimepata.
Nimeweka pembeni laki tano kwa ajili ya shopping yako ya
Krismas,naona hujibu kwa hiyo bye baby……(00:01 am)
MDADA:(typing):Ohh! Hi dear... Actually nilikuwa na mom nikawa nashindwa kukujibu ... wow darling najua roho yako sasa imetulia umelipwa deni lako...I love you a lot... Unataka twende shopping saa ngapi? (00:05am)
MKAKA:(last seen 00:06am)
MDADA:Baby nijibu basi,nijibu nijue muda gani nijitayarishe,nijibu betry yangu inaisha chaji baby,nijibu sasa hivi (00:08am)
MKAKA:(last seen 00:09am)
MDADA:Naweka simu kwenye chaji dakika mbili
baby (00:10am)
MKAKA:(last seen 00:12am)
MDADA:Babes,najua nilikwambia usiwe unanipigia simu baada ya saa mbili usiku,lakini piga tu mom ameshalala (00:25)
MDADA:(typing):Ok,najua umelala ntakupigia asubuhi. Na kesho kama unaweza kuja njoo tu mom anaenda kumtembelea rafiki yake mi ntakuwa alone siku nzima G9t baby miss you (00:30am)
MKAKA: (last seen 00:32)

You Might Also Like

0 comments: