SURPRISEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!...

11:08:00 Unknown 0 Comments

Wiki iliyopita ilikuwa siku yangu ya kuzaliwa (birthday)... Mke wangu hakunitakia heri ya kuzaliwa kwangu... Mbaya zaidi hata wazazi, wanangu, marafiki na wanafamilia nao walikausha pia ....

Nikaondoka na kwenda kazini... Wafanyakazi wenzangu hawakuniambia neno lolote lile la kunitakia heri ya kuzaliwa .. Wakati naingia katika ofisi yangu nikiwa na hasira na huzuni ya kuona sipendwi mara secretary akaniambia, "Happy Birthday Boss"..

Nilifurahi sana na kujiona kumbe huyu ananijali zaidi... Akaniomba mchana anipe lunch... Mchana tukaenda na baada ya lunch akanialika nyumbani kwake...

Tukaingia mpaka ndani... Akaniuliza "Utaniruhusu niingie chumbani nijibadilishe nguo mara moja boss"

"Haina shaka wangu", Nikamruhusu.. Akaingia ndani na baada ya dakika tano akaja akiwa na keki, mke wangu, wazazi wangu,watoto, marafiki na wafanyakazi wenzangu........

Wote wakapiga kelele za SURPRISEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!...

Na mie muda huo nilikuwa namsubiria secretary wangu kwenye sofa... NAKED aka mtupu nikijua anabadilika ili kunipa pongezi za birthday.

like Tabasamu na Fuledi

You Might Also Like

0 comments: