Vitu 11 nilivyojifunza kutoka katika habari ya safina ya NUHU
1. Usiichelewe Safina.
2. Kumbuka wote tuko katika safina moja.
3. Weka mipango ya baadae. Mvua haikunvyesha wakati Nuhu anaiandaa safina .
4. Hakikisha unakuwa na afya njema. Unaweza kuja pewa jukumu zito ukiwa na miaka 60 kama ilivyokuwa kwa Nuhu
5. Usisikilize maneno ya wakatishaji tamaa, Wewe fanya ulifanyalo kwa imani kubwa.
6. Jenga msingi mzuri kuanzia sasa.
7. Kwa uhakika wa safari siku zote safirini mkiwa wawili.
8. Spidi siku zote haina faida. Kwenye safina konokono pamoja na utaratibu wao lakini walikuwa pamoja na chui na simba.
9. Unapopata majaribu, Jipe nafasi ya kupumzisha kichwa na kutafakari.
10. Kumbuka safina ya Nuhu ilitengenezwa na mtu asiye msomi na haikuzama ila TITANIC wasomi walitumia muda kuiunda na ikazama
11. Pamoja na matatizo na kila kitu kinachokutatiza amini Mungu yupo na mwishowe atakuonyesha upinde wa mvua kuonyesha yameisha
0 comments: