Leo naomba niwaambie kitu wanaume

20:14:00 Unknown 0 Comments



Kuna wanaume wao hulalamika na kuwa na hasira pale wanaposikia kuwa wake zao wanatoka nje.

Wewe unaamka saa kumi na moja ukiwa na uchovu na kwenda ofisini unafanya kazu mpaka saa moja za usiku unafunga ofisi yako, unaingia bar unauweka mtindi mpaka saa nane usiku unarudi unalaa ukiwa tilalila na unasahau majukumu muhimu kwa wife.

Na asubuhi wewe unapotoka kwenda ofisini umeweka mezani hela zako ukiamini kuwa mahitaji yote muhimu mkeo anapata na watoto.

My friend huna weekend na ukipata mwanya huna hata muda wa familia unatafuta hela ukiamini hela ndio kila kitu... ha ha ha my friend wewe endelea na kaka house boy atakupunguzia baadhi ya majukumu

Posted by Fred Kihwele · 36 mins · 
JE UNATAMBUA KUWA ULAJI WA NYANYA UNAWEZA KUKUWEKA MBALI YA TATIZO LA TEZI DUME (PROSTATE).
57 people reached
Like ·  ·  · 2
Posted by Fred Kihwele · 36 mins · 
Fruits Salad
Napokea oda za kusambaza fruits salad kwenye maofisi na kwenye sherehe/party. 0767634082
KARIBUMBEYA.COM
12 people reached
Like ·  · 
Posted by Fred Kihwele · 1 hr · 
Mpe jina moja huyu kijana
40 people reached
5 Views
Like ·  ·  · 31
Posted by Fred Kihwele · 8 hrs · 
Semina kubwa ya wanawake wajasiliamali itafanyika katika ukumbi wa Jk Nyerere international conference wakina mama wote mnakaribishwa kujifunza jinsi kuboresha biashara zetu itakua tarehe 1/3
Semina kubwa ya wanawake wajasiliamali itafanyika katika ukumbi wa Jk Nyerere international conference wakina mama wote mnakaribishwa kujifunza jinsi kuboresha biashara zetu itakua tarehe 1/...
KARIBUMBEYA.COM
53 people reached
Like ·  ·  · 23
Posted by Fred Kihwele · 11 hrs · 
MWISHO WA UMASKINI NDIO MWANZO WA UTAJIRI
Niwakati wako sasa ndugu yangu kuweza kuyabadili maisha yako,kwa kusema umaskini sasa basi. Nataka nikwambie ndugu yangu mpendwa,ulimwengu wa leo unaendeshwa na watu wenye pesa na sio maskini. Ungana na mimi kwa Tsh 26,000/= tu nikuonyeshe jinsi inavyoweza kubadili maisha yako. Dunia hii ya karne ya 21 imetawaliwa na biashara nyingi zinazo fanyika kwa njia ya mtandao.
MWISHO WA UMASKINI NDIO MWANZO WA UTAJIRI Niwakati wako sasa ndugu yangu kuweza kuyabadili maisha yako,kwa kusema umaskini sasa basi. Nataka nikwambie ndugu yangu...
KARIBUMBEYA.COM

You Might Also Like

0 comments: