ANZA KUJIFUNZA KILA SIKU

13:29:00 Unknown 0 Comments


Hili ni jukumu ambalo unatakiwa kuwa nalo kila siku bila kuliacha. Ukiwa ni mtu wa kujifunza kila siku vitu vipya hasa kupitia vitabu, utakuwa unakua kila siku kiakili na baada ya muda utakuwa na uwezo mkubwa sana wa kukabiliana na changamoto kuliko unavyofikiri. Hautakuwa na mafanikio makubwa sana kama wewe hautaanza jukumu hili la kujifunza kikamilifu kila siku mwaka huu. Tenga muda maalumu wa kujisomea kila siku utaona matokeo yake.
MAMBO SABA MUHIMU KUZINGATIA ILI 2015 UWE MWAKA WA MAFANIKIO: Ikiwa leo ni siku ya 17 tangu mwaka 2015 uanze.inawezekana bado uko na...
KARIBUMBEYA.COM

You Might Also Like

0 comments: