Sababu 5 kubwa za biashara kutokufanya vizuri
13:27:00
Unknown
0 Comments
13:27:00 Unknown 0 Comments
Pamoja na kuwepo njia mbalimbali za kuzingatia katika kuanzisha na kuendesha biashara, bado biashara nyingi zimekuwa hazifanyi vizuri. Tambua kuwa kuanzisha na kuendesha biashara si jambo rahisi ni lazima uwe na nidhamu ,bidii na uwe tayari kujifunza hili uweze kupata mafanikio katika biashara unayofanya .Watu wengi hugundua ugumu wa kuendesha biashara baada ya kuanza na si kabla.
Kuna baadhi ya watu ambao wanachukulia suala la U...
Continue Reading
MAANA YA NEPLILY Asili ya Jina la Neplily imetokana na muunganiko wa majina mawili ambayo ni “Nep” kutoka kwa neno Neptunus “Lily” kutoka kwa maua yaitwayo L...
KARIBUMBEYA.COM

Fuledi Mwagito
Nakushukuru kwa kunipa nafasi hii adimu sana ya kufurahi, kuelimika na kubadilishana mawazo. Nitafurahi sana kama utaniachia comment hapo chini ili nijue kama habari,ucheshi, simulizi na vioja vioja hivi vimekupa siku yako kuwa BOMBA. Kumbuka nawe waweza share nami chochote ulichonacho kwa kunicheki kupitia whatsapp kwa namba 0713317171 au kupitia comment. Asante.
0 comments: