Dunia imejaa visa na mikasa ambayo kila mtu hukutana nayo kwa nafasi yake. Lakini wakati wewe unafikiri ya kuwa umeumia au kuumizwa zaidi wapo ambao wao wanapitia makubwa zaidi yako.
Dunia imejaa visa na mikasa ambayo kila mtu hukutana nayo kwa nafasi yake. Lakini wakati wewe unafikiri ya kuwa umeumia au kuumizwa zaidi wapo ambao wao wanapitia makubwa zaidi yako.Kuna watu wao baada ya kupitia mapito haya hukata tamaa ila kuna ambao wao hupigana mpaka tone la mwisho kuhakikisha wanakabiliana na changamoto hizo.
Kuna wale ambao hudhania umaskini ndio sababu kubwa ya kuwafanya wawe makatili hasa wakiangalia wapi walikopitia, lakini pia kuna wale ambao kutokana na mali na utajiri wao huamua kutumia fedha hizo kulipa visasi au hata kuhatarisha maisha ya wenzao.
Kutana na SAMIRA katika simulizi hii na ujifunze mengi.
Hapo chini kuna link za simulizi hii kuanzia namba moja mpaka ilipofikia sasa, na kuanzia leo ukiikosa hapa basi utaikuta kupitia karibumbeya.com
Soma Sehemu ya 1
Soma Sehemu ya 2
Soma Sehemu ya 3
Soma Sehemu ya 4
Soma Sehemu ya 5
Soma sehemu ya 6
Soma Sehemu ya 7
Soma sehemu ya 8
Soma Sehemu ya 9
Soma visa vingine HAPA
0 comments: