Limbwata lazua makuu

16:34:00 Unknown 0 Comments

Kwa kawaida limbwata likiwekwa kwenye chakula anatakiwa mtu wa kwanza kula awe mhusika anayetakiwa kuwekewa hiyo libwata.

Sasa mama mmoja baada ya kuchoshwa na tabia za mme wake kurudi nyumbani kwa kuchelewa kila siku ikambidi aende kwa mganga wa kienyeji na kumpa limbwata.

Yule mama akarudi na kumwamndalia mkewe chakula na baada ya kukiweka mezani ili aende kumwita mzee aje ale ghafla kurudi kumbe paka kawa wa kwanza kuila.

Yule mama mpaka hivi sasa anapendwa na paka wake ni hakuna mfano

You Might Also Like

0 comments: