ACHA KUJIUMIZA KUPITA KIASI KWA KUFIKIRIA SANA, AMINI MUNGU YUPO NA ANAKUPIGANIA, ENDELEA KUOMBA NA MUNGU ATAKUWA NAWE DAIMA.

22:21:00 Unknown 0 Comments



Jamaa aliyekuwa na msongamano wa mawazo (stress) akiwa ofisini mwake, ghafla alishtushwa  na mtu aliyekuja mbio ofisini mwake huku akimwita 'Peter, Peter,Peter, binti yako amepatwa na ajali mbaya sana na hivi sasa yupo mochwari.,'

Jamaa akashtushwa zaidi na kuchanganyikiwa, kwa haraka akajirusha kupitia dirishani mara akiwa anaanza kuanguka kushuka chini akakumbuka ofisi yake iko ghorofa ya 7, na alivyozidi kushuka akakumbuka tena mtoto wake haitwi Tonia, huku akizidi kushuka chini zaidi kwenda ardhini akakumbuka kuwa hajaoa pia na kabla ya kutua ardhini akakumbuka kuwa hata Peter siyo jina lake....!

ACHA KUJIUMIZA KUPITA KIASI KWA KUFIKIRIA SANA, AMINI MUNGU YUPO NA ANAKUPIGANIA, ENDELEA KUOMBA NA MUNGU ATAKUWA NAWE DAIMA.



You Might Also Like

0 comments: