BIBI HATARI WA KUPINGA..

22:16:00 Unknown 0 Comments

 Kuna bibi m1 alienda benk
kufungua account bt
alivyofka benk akawa
anataka aonane na
manager kwanza.... Customer service
wakamzuia wakidai boss
yupo busy hataki kuonana
na m2 by dat tym... Wakati
mzozo unaendelea
manager akatoka ofisin kwake, akamwita yule bibi
amsaidie shida yake... Bibi akaenda ofisini na
manager, maongez
yakawa hv..
... .
MANAGER: "Unashda gani
bib i!?!"
BIBI: "Nataka kufungua
account, niweke milion 30
zangu..."

MANAGER: "Mmmh!! Mbona
unaonekana mzee sana,
pesa zote umezitoa wap?!? BIBI: "Nimezipata kwenye
mchezo wa KUPINGA, hata
wewe ukitaka 2naweza
pinga tu!!!"

MANAGER: "Mmh,
2napingaje?!? BIBI: "Aaah, rahisi sana,
mim naweka hizo milion
30 na wewe weka hizo
hizo, mpaka kesho sa nne
asubuh sehem zako za siri
zitakua ngumu sana kama mawe... Zisipokua hivyo
umenila zikiwa nimekula
wewe..."
MANAGER: "Mmmh, sawa
hamna shida...." Kesho asubuhi saa nne yule
bibi alikuja na mzee
mwingine pale benk... Manager alivyomuona bibi
akamwambia,
"Bibi umeliwa!! Sehem
zangu za siri zipo kama
kawaida
..." BIBI: "Sawa mjukuu
wangu, sasa mimi
nitaaminije bila
kuzishika..?!?"

MANAGER: "Njoo 2
uhakikishe bibi..." Bibi akaenda akaanza
kumshika yule manager
nyeti zake... Wakati
anamshika vile yule mzee
aliekuja nae akawa
ameshika kichwa huku anatukana tukana na
machozi yakimlenga.... Manager akamuuliza bibi,
"Vipi mbona yule mzee
uliyekuja nae kawa
vile....?!?" Bibi akamjibu,
"Aaah, yule nilipinga nae
kwa milion 90 kuwa
naweza kumshika
manager wa benk sehemu
zake za siri akabisha ndo nikapinga nae... So ndo
kashaliwa pale..."

You Might Also Like

0 comments: