Hapo lazima uzimie

10:32:00 Unknown 1 Comments


Muha mmoja alikamatwa na Polisi wakati wa Operesheni Kimbunga huko maeneo ya Manyovu.

Akaulizwa....... ''wewe ni mTanzania?, akajibu: '' ndio.''

Polisi akamwambia, unaweza kuimba wimbo wa taifa? Akajibu: ''ndio.''

Polisi: haya imba.......

Akaanza: '' KIGOOMAA AEE KIGOMAA EE! LEKA TUTIGITE WISHAVU AMENEKEE!!''

Polisi chali.......

You Might Also Like

1 comment: