Mungu hakuumba JUA bila MVUA

14:51:00 Unknown 0 Comments


Yafurahie matatizo yako ya sasa kwani ndio mafanikio yako ya kesho, uwatafutao leo kesho watakutafuta, na wakuchukiao sasa muda ukifika watakupenda tu!

Na waliotoa kauli mbaya juu yako watazikana kauli zao. Ila usiwasahau wakupao Moyo sasa, maana ndio chachu ya mafanikio yako ya baadae.

Mungu hakuumba JUA bila MVUA, SHIDA bila RAHA, CHUKI bila UPENDO, pia ameahidi FARAJA Kwenye MAJONZI. Mungu yu pamoja nawe, kila la heri

You Might Also Like

0 comments: