Yaani Ningekuwa na uwezo ningechukua VALUE zote nizitupe mtoni
KANISANI WAKATI WA MAHUBIRI PASTA ALISIMAMA AKAANZA KUHUBIRI.....PASTA: "Ningekuwa na uwezo,ningechukua GUINESS zote nikazitupe kwenye mto
WAUMINI: Ameen!
PASTA: Ningekuwa na uwezo,ningechukua KONYANGI zote nizitupe mtoni.....
WAUMIN: Amen!
PASTA: Ningekuwa na uwezo,ningechukua WINE na WHISKY zote duniani nizitupe kwenye mto
WAUMINI: ameeen!
PASTA: Yaani Ningekuwa na uwezo ningechukua VALUE zote nizitupe mtoni....
WAUMIN: Amen ameen!
Pasta alipomaliza mahubiri yake akakaa chini. KIONGOZI WA KWAYA AKASIMAMA NA KUSEMA "Fungueni vitabu vyenu vya nyimbo, tuimbe wimbo wa 157 unasema.......
"NASI TUTAKUNYWA MAJI YA MTO HUU"
Waumini: Haleluuuuyuuyaaaah!!!
Hiyo kali. Mto huohuo ulliotumiwa kumwaga pmbe zote balaa
ReplyDeleteha ha ha ha
ReplyDelete