Binti wa chuo aponea kuchanjwa na nyembe kisa mchepuko

12:32:00 Unknown 0 Comments

Jamani kwa nini watu wengi hawana huruma na kila siku nasoma kupitia fuledi naona kuna
mikasa ya kuelimisha au watu hawasikii???????

Mimi ni binti ambaye naishi hapa dar na ninasoma chuo kikuu, nina mwanamme wangu
nimpendaye ambaye kumbe ni mme wa mtu na hajawahi niambia mpaka leo nimekuja kuonana na mkewe ambaye nusura anichanje na nyembe.

Kumbe huyu mme wangu ananidanganya yupo alone na familia yake kaitelekeza msamvu na
huku anakaa na mimi akidai kuwa anataka tuoane kabla ya mwezi wa nane mwakani.

Sasa leohuyu mke kaambiwa sijui na nani kaja na kuanza kuleta fujo akiwaambia watu anataka
kuniharibia kabisa!!!!!!!!!!!

Jamani wanaume acheni kutuchezea feeling zetu jamani....mnatuharibia ndoto zetu???

Mnaboa sana sasa dada mzima naanza kuzomewa mtaani kuwa mwizi wa wanaume??????????

Badilikeni

You Might Also Like

0 comments: