JE, WAJUA?

05:17:00 Unknown 0 Comments

Wanawake Ni SILAHA Hatari Sana Ambayo Hutumiwa Na SHETANI Kumwangamiza Mwanamume.

ADAMU Aliangushwa Na Shetani Kupitia EVA (HAWA),

SAMSON.Aliangushwa Na Shetani Kupitia DELILA,

YOHANA Mbatizaji Aliuawa Kikatili Kupitia BINTI HERODIA.

YUSUFU Alifungwa MISRI Kupitia Mke Wa Mfalme.

Mfalme DAUDI Alianguka Kupitia BATSHEBA~ Mke Wa Uria.

Dokta love pimbi miaka yake yote amepata vichapo kwa ajili ya mwanamke

Rafiki wa fuledi usiku wa kuamkia jana alipata kisago cha haja kwa ajili ya mwanamke

Mshahara wa nanihii unateketea kw asababu ya mwanamke

Hapa na wewe unapoteza muda wako kusoma habari hi feki kwa sababu unataka kumfahamu
mwanamke

Umakini Unahitajika Zaidi UKIONA Unaitwa HANDSOME Wakati Unajijua wewe Una sura Mbaya.

Ukiitwa BABY wakati Ni MZEE Wa Zaidi Ya Miaka 40...

Uianza kuona unaiitwa BABY mwisho wa mwezi au mkiwa sehemu ya matumizi

Ukiitwa Portable Wakati Una Kilo zaidi ya 80.

CHUKUA TAHADHARI.

share ili WANAUME WATATU wafunguke muda huu

You Might Also Like

0 comments: