Habari za asubuhi marafiki

11:59:00 Unknown 0 Comments

Habari za asubuhi marafiki



Tunamshukuru sana mdhamini wa Simu ya Ajabu  ambaye ni Gracious HOUSE of CAKES watengenezaji wa cakes za aina mbalimbali waliopo Mbeya kwa kutupa zawadi ya Surprise ya cake aina ya Black Forest.

Bibi Gusa Unate kidogo afanye ujanja wa kukimbia na cake lakini tunawashukuru baba pachu na mwakibubu kwani walisimama kidete na kila mtu akaifaidi cake hiyo yenye ladha tamu zaidi ya chocolate.

Kwa msomaji wa simu ya ajabu aiishie Mbeya jumamosi hii tutakuwa na cake nyingine kama hii pale hoteli ya penge kuanzia saa saba mchana mpaka saa mbili kamili  za usiku kwa kiingilio cha shilingi 5000 tu.

Karibu ushiriki nasi katika burudani hii ukiwaona live kina mwakibubu, baba pachu, mama pachu, mama amigo, bibi gusa unate na marafiki wengine wengi amabao ni wasomaji wa hadithi hii.

Pia kama una birthday yako kutakuwa na zawadi nyingi za kushtukiza.

Wasiliana nasi kwa namba 0713317171 whatsapp au piga namba 0654690368 ili kupata tiketi yako mapema kwani nafasi ni kwa watu 30 tu

Karibuni.

You Might Also Like

0 comments: