Mambo 7 usiyoyajua kuhusu simulizi ya simu ya ajabu

11:41:00 Unknown 0 Comments


1. Ukianza kusoma hauachi na ukifanikiwa kuacha ujue huna kifurushi

2. Watunzi wa kisa hiki kila wanapomaliza kuandika season moja hujikuta wakicheka wao 

3. Muda mfupi kutoka sasa kisa hiki kitaanza kusikika katika radio

4. Mpaka sasa bwana mwakibubu anashililia rekodi ya kushinda bar kuliko wateja wengine

5. Mpaka sasa tumepokea simu kutoka kwa baadhi ya wasomaji wakijifannanisha na baba pachu au mwakibubu kutokana na matukio waliyowahi kukutana nayo.

6. Idadi kubwa ya wasomaji wanapatikana whatsapp zaidi kuliko facebook

7.  Bibi gusa unate ni bibi wa kwanza kumiliki kituo cha afya kinachotoa huduma kupitia whatsapp

8. Soma namba nane hapa



You Might Also Like

0 comments: