Chakula bora cha kukufanya uishi miaka mingi hapa duniani
Epuka
Kukaa na watu wasio halisia
Kuishi na watu wasiojali maisha
Kuishi na watu wenye kusujudu majungu
Kuishi na watu wenye mitazamo hafifu kwa kila jambo
Kuishi na watu wasiopenda kukuona wewe ukiishi kwa furaha
Kuishi na watu wanaojipenda wao na kusahau kuwa jamii yawahitaji pia
Mwanzoni itakuwa ngumu kwako kwani utaweza kupungua zaidi ya kilo tano kwa kujifunza kuishi hivi, lakini baadae itakuongezea zaidi ya kilo tano za maisha ya furaha na amani
0 comments: