WASOME WAKUBWA TUUUU Masharti na vigezo kuzingatiwa

11:25:00 Unknown 0 Comments

WASOME WAKUBWA TUUUU
Masharti na vigezo kuzingatiwa
~*~
Mademu wengine wana lawama...Wakisikia Boyfriend wake AMECHEAT atapiga kelele...atamsuta "Umekosa nini Mwanaume huridhiki,Utamaliza Nyama bucha Ileile,kwani mi sikupiiii,si nakuuliza wewe Hasidi Fisadi namba 1 wa Mapenzi usiyetosheka,Kwani Haikutoshi hii?"

Anatokwa Povu wakati In Reality HAKUNA ANACHOFANYAGA...Anachojua ni Kubetua ile LOKI ya Sidiria na Kujilaza Chanuu kusubiria Mkwaju..Baada ya hapo anachojua ni makelele tu kama gari ya takataka..Kazi yote ufanye wewe...Sasa kuna wanawake huko nje wakikudaka lazima upagawe maana Ukifika mlangoni unadakwa kabla hata hujavua viatu,Unafinywa Si kufinywa,Unameng'enywa na 
mchanganyiko wa Meno na Kucha unabaki unaweweseka kama Kondoo aliyesahau Mlango wa Banda..Khanga ikianguka Mtoto ana Shanga kama 76 za rangi tofauti anakubidua,Mguu mmoja dirishani mwingine kwenye Feni..Ukija kutua unasindikizwa na Busu la Sikio unaambiwa Poleeee...halafu unapewa Juisi ya Embe huku unakunwakunwa Ulale...

Sasa wewe unabetua Sidiria unatulia kama Ndama mwenye Mdondo...Akimaliza unamwambia "SOGEA HUKO TULALE UNANIBANA"
Asipochepuka labda ni Mhashamu Askofu Mwandamizi wa Kigango cha Mavurunza.Mii simooo Asubuhi njema



Posted by Fred Kihwele · 18 hrs · 
Punguza NYAMA UZEMBE kila utumiapo BODY TONING KIT
Punguza NYAMA UZEMBE kila utumiapo BODY TONING KIT Ni bidhaa inayosaidia kuondoa mafuta ya ziada yanayokaa chini ya ngozi kwenye...
KARIBUMBEYA.COM

You Might Also Like

0 comments: