Anaomba ushauri

14:55:00 Unknown 0 Comments

Hello Fuledi,

Naomba ushauri.

Mimi natokea mbeya na juzi nimekuja mjini Dar
na kukutana na binti wa kizungu anayeongea
kiswahili fasaha na nikampa maneno na
tukakubaliana kulala wote.

Asubuhi naamka kakimbia hela na baadhi ya vitu
vyangu.

Hapa nimedata na siamini kama mzungu
anaweza niibia sijui kajisahau tu atarudi au ndio
inakuaje

You Might Also Like

0 comments: