Kipi kati ya hivi viwili kinauma zaidi?

17:18:00 Unknown 0 Comments



1. Uko kwenye mtihani: maswali yamekugonga unaamua kuazima karatasi ya majibu ili ukopi. Muda wa mtihani unakwisha na Wakati mnaenda kukusanya karatasi za majibu unairudisha karatasi kwa jamaa na jamaa anakwambia hiyo ichane tu kwani majibu aliyoandika siyo yenyewe.

2. Umeishi na mkeo miaka 25: mmezaa mtoto mmoja tu wa kiume na ukamsomesha hadi Versity na kumrithisha mali zako zote. Siku moja mkeo anaamua kukueleza ukweli kuwa mtoto huyo si wako bali wa rafiki yako.

You Might Also Like

0 comments: