NAni mkali hapo????

00:03:00 Unknown 0 Comments

Serikali ilitangaza mtu ambaye ana watoto 5 na kuendelea ataongezewa 70% ya mshahara wake na atakuwa akilipiwa pango la nyumba na baadhi ya mahitaji muhimu.

Fuledi akamwambia mke wake " Honey nina mtoto mmoja nje" kisha akaenda kumfuata ili aongeze kwenye idadi ya watoto 4 alianao na hatimaye awe na watoto 5.

Alivyorudi akashangaa kuona amebaki mtoto mmoja kati ya wale 4 aliowaacha. Akamuuliza mkewe " wengine wameenda wapi?

Mke akajibu "sio wewe peke yako uliyesikia tangazo hilo, wamekuja baba zao wamewachukua"

NAni mkali hapo????

You Might Also Like

0 comments: