Fuledi sasa "achanganyikiwa" awashangaza watu katikati ya maombi

09:22:00 Unknown 0 Comments


Fuledi alipimwa UKIMWI ijumaa na kuambiwa majibu aende kuyachukua jumatatu kwani siku hiyo kulikuwa na hitilafu pale hospital.

Jumapili akiwa kanisani mchungaji akasema " Ndugu zangu sasa ninaenda kuwaombea, na kila ulichomuomba Mungu au kukifanya wiki hii.Basi Mungu atakupa majibu POSITIVE wiki kesho"

Mchungaji alipoanza kusali... Fuledi akawa kwa sauti anasema mchungaji shindwa majibu yangu yatakuwa NEGATIVE

You Might Also Like

0 comments: