Tafadhalli Kuwa Mpole

16:37:00 Unknown 0 Comments



1.No matter how hot your anger is,
it can not cook yams -Tafadhalli
Kuwa Mpole

2.Hata uwe na HARAKA vp huwezi
kuomba lifti gari la TAKA!-Tafadhalli
Kuwa Mpole

3.Hata kama umezeeka kama
hujaondoka kwa baba yako na
mama yako wewe bado ni mtoto.-
Tafadhalli Kuwa Mpole

4.Usione Ng'ombe anakunya huku
anatembea, ANAJALI MUDA.-
Tafadhalli Kuwa Mpole

5. Ukitaka kujua umuhimu wa
makalio,jaribu kukalia kichwa.-
Tafadhalli Kuwa Mpole

6. Ata simba mkali utiwa mimba -Tafadhalli Kuwa Mpole

7.Hata uwe na huruma vipi, huwezi
kumsaidia mkeo kubeba mimba.-
Tafadhalli Kuwa Mpole

8.Ata Kivuli cha Mzungu ni cheusi-Tafadhal­li Kuwa Mpole

9.Hata uwe baunsa vipi kwa njaa
lazima uwe mpole!- Tafadhalli Kuwa
Mpole

You Might Also Like

0 comments: