Mbio kwenda mbele

17:14:00 Unknown 0 Comments

Mwizi mmoja, alimwona tajiri mmoja akizikwa na vitu vingi vya thamani,
akasema kimoyomoyo; usiku nakuja kuliiba Jeneza lote. 

Giza lilipofika akaenda kuiba lile Jeneza la tajiri.....sasa amelibeba yupo njiani akakutana na Polisi wa Doria, alipowakaribia akaanza kuzungumuza kwa sauti; mimi niliwaambia wanizike Morogoro wao wamenizika Dar es alaam....sasa naenda mwenyewe Morogoro. 

Polisi kusikia hivyo, wote ni mbio kwenda mbele!

You Might Also Like

0 comments: