kanjibai feki ha ha ha ha ha ha ha ha ha

00:23:00 Unknown 0 Comments

Kuna mzungu mmoja alikuja nchini kikazi,sasa ili japo awe
anapiga story na mswahili ikampasa kuanza kujifunza
kiswahili.
Baada ya mafunzo mafupi akakalili maneno matatu katika
salamu(Jambo,salama,safi sana)
Siku moja asubuhi akakutana na dada mmoja
aliyefiwa,maongezi yao yakawa hivi:
Mzungu:dada Jambo?
Dada:Sijambo!
Mzungu:Salama?
Dada:Siyo salama nimefiwa.
Mzungu:Safi sana!!!!!

You Might Also Like

0 comments: