AINA ZA HUSBAND WAPATIKANAO BONGO

00:12:00 Unknown 0 Comments



1. Bachelor Husband - Huyu hajali
familia yeye na marafiki na
kushinda nje ya nyumba yake

2. Acidic Husband - Huyu ni mkali
kwa kila jambo hata jambo liwe dogo vipi ni kuwaka kwa kwenda
mbele

3. Slave Husband - Huyu anataka
umnyenyekee kama mfalme
yaana
ni kama Mungu mtu

4. General Husband - Huyu ni
kiwembe aka anawanawake
wengi
kupita maelezo

5. Dry Husband - Huyu ni mchoyo
akitoa pesa ya matumizi anataka kujua hadi shilingi moja
imetumikaje

6. Asprin Husband - Huyu
anataka
shida zake zote mkewe ndo
azitatue hata kama yeye mwenyewe
ana uwezo

7. ParasiteHusband - Huyu ni
tegemezi aka Marioo

8. Baby Husband - Huyu hana
maamuzi binafsi uamuzi wake hupewa na wazazi ndo aje
afanye
maamuzi kwa mkewe

9. Visiting Husband - Huyu hataki
kujua familia imeshindaje,
inaishije, wanakulaje kulala nje kama kawa
hata siku tatu

10. Caring Husband - Huyu ni
mwenye kujali familia na kuitunza
kwa kila jambo.

Wewe Men ungependa kuwa kundi Lipi kati ya hayo?

Wewe girl,ungependa upate mume wa Aina ipi kati ya hao?

You Might Also Like

0 comments: