Lugha za wazazi pale matokeo ya kidato cha nne yanapotangazwa

22:14:00 Unknown 0 Comments

HII NDIO LUGHA YA MZAZI KWA MWANAE ALIEFAULU 

SAA 6AM

BABA;Baba,baba, unaamka sasa hivi au unalala lala kidogo
MTOTO;Hapana baba nimechoka ntaamka saa 5 jana nilichelewa kulala nilikua naangalia Merlin
BABA;Haya baba basi kuna elfu 30 nimemuachia mamaako kama utajiskia kutoka utaitumia kama nauli 
MTOTO;Baba si uniachie zile funguo za rav4!!
BABA;Haina tatizo utaenda kuchukua pale chumbani kwangu usipoziona mwambie mamaako akupe,halafu sidhani kama hiyo pesa itakutosha kwa ajili ya mafuta upitie pale ofisini nikuongeze pesa.

SASA HII NDIO LUGHA KWA WALE WA 4 NA 0


SAA 6AM


BABA:We nguruwe umelala tuu mpaka saa hizi ivi unajua bei ya hilo godoro,kazi kupata maziro tuu kwa kulala lala lione,hebu amka unioshee gari niende kazini na baadae uchome zile takataka kule shimoni na ulichimbe shimo upya.

You Might Also Like

0 comments: