MKOPO WA VIWANJA VILIVYO PIMWA

09:46:00 Unknown 0 Comments


YUNEDA COMPANY LTD baada ya kugundua watanzania wengi hawamiliki viwanja vyenye hati kutoka wizara ya ardhi kutokana na sababu za viwanja vilivyopimwa kuwa na bei kubwa na watanzania walio wengi kipato chao ni cha chini. YUNEDA wameanzisha mradi wa kupima viwanja na kuwakopesha .

Kwa wale wanaohitaji huchagua kiwanja na kuanza kurejesha kwa muda wa miezi 6 hadi 36 kulingana na kipato chake. Wameshapima viwanja 480 ndani ya mkoa wa DSM wilaya ya Temeke. Malengoyao ni kupima viwanja katika mikoa 10.

KWA MAWASILIANO: 

FIKA OFINI KWAO MBAGALA KONGOWE BAKWATA
 AU simu 0712 870606

.........................FURSA NI HII TUITUMIE…………….

You Might Also Like

0 comments: